• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

WAKUU SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI WILAYA YA MBULU WAPONGEZWA KWA UTENDAJI KAZI MZURI

Kurushwa hewani: June 5th, 2023


Akiongea na Wakuu wa Shue za Msingi,Sekondari na Maafisa Elimu Kata wapatao mia mbili thelathini na sita ( 236) katika Viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Komredi Heri James Mkuu wa Wilaya ya Mbulu amesema kuwa kutokana na kazi nzuri zinazofanywa na Walimu ameamua kuwaita kukaa na  kupongezana pamoja,

Amesema Walimu ni chombo kilichobeba dhamana kubwa katika jamii, kwani wamekuwa na mchango mkubwa katika kulinda na kutunza Taifa hili. Wilaya ya Mbulu imebalikiwa kuwa na Walimu bora na mahiri kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hii, aidha kutokana na  uwepo wao wamekuwa viongozi wazuri katika kutimiza na kutambua malengo yaliyo mbele yao.

Ameendelea kutambua mafanikio na michango katika maeneo yao mbalimbali ya kazi kwa kutambua utendaji wao wa kazi kwa kupitia matokeo mbalimbali ya mitihani.Pamoja na kuwa na viwango mbalimbali vya matokeo ameendelea kutaka kujua kama walimu hao wanaridhika na kile wanachokifanya, ili kuonesha kuwa wamekuwa hawaridhiki na kile wanachokifanya ndio maana walimu hawa wamekuwa wakipambana  kila kunapokucha kuweza kuendelea kuboresha zaidi matokeo kwa viwango tofauti tofauti vya juu.


Amesema kumekuwa na jitihada mbalimbali za kuwaboresha walimu masilahi yao ya Utendaji ambapo amewaagiza Maafisa watumishi kuendelea kurekebisha madai mbalimbali ya walimu kama vile Uhamisho, madaraja na malimbikizoya mishahara kwani Serikali imekuwa na jitihada  za dhati  katika kuimarisha, kuboresha na kujenga miundo mbinu mbalimbali kwa kupitia miradi tofautii tofauti.

Amewaomba walimu kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kutunza heshima yao waliyonayo katika maeneo mbalimbali na sio kuwa chombo cha adhabu kila eneo kwani jamii imekuwa na imani sana nasi, niwaombe Maafisa elimu kata kuwa ni chachu ya kusimami kwa dhati elimu katika maeneo yao ya kazi na kuhakikisha wanaweka ratiba nzuri ya ufatiliaji wa maendeleo  ya elimu katika kata zao ili waweze kuwapunguzia maafisa elimu kazi ya kuita walimu  ofisini.


Anapenda kuwapongeza Wakuu wa shule kwa kusimamia vizuri Walimu ,Wananfunzi, na Wazazi na walezi walionao katika Jamiii, ni ndoto  yetu kuona makundi hayo aliyoyataja yanasimamiwa kwa ufasaha kwani yanapotoka mafanikio yanaanza kwa kutajwa mwalimu Mkuu aliyekuwa daraja la mafanikio hayo ili kuyafanya hayo lazima tuimarishe mahusiano baina yetu katika taasisi zetu kwani msingi wa mahusiano ni mawasiliano


“Amewataka walimu kuungana kwa dhati juhudi za kuboresha maadili na kukemea mmonyoko mkubwa unaolikumba Taifa kwa sasa, amewaomba kusimama kwa pamoja kulinda Taifa letu lililo katika vita mbaya ya kupambana na kupinga vitendo vya ubakaji, usagaji, ufisadi, ulawiti ili kuwandaa watoto wetu kwa kizazi kijacho”.


Katika kupambana na hayo yote yanasiamaiwa na mambo matano katika wilaya yetu,ambayo ni kusimamia kwadhati Utawala wa Sheria,Haki, Usawa,Maendeleo,Umoja na Haki. Ili Kuendeleza juhudi za kupandisha ufaulu amewasisitiza Walimu kuzingatia yafuatayo:-

Kusimamia maadili ya watoto na watumishi katika maeneo yetu

Kuheshimu misingi ya taaluma, maadiliya kazi na kuheshimu utaratibu wa utumishi wa Umma

Kuheshimu taratibu za kazi walizojiwekea



Wakiongea kwa nyakati mbalimbali Wakurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya na Mji  wamepongeza kwa tukio kubwa la kuwaita Walimu Wakuu wote wa shule za Sekondari na Msingi  kwa utendaji wao wa kazi, Wamewaomba Walimu  kuendelea mshikamano wao wa pamoja katika kazi za kujenga na kuimarisha taaluma. Kitabu cha “The Power of Teachers” aliandika Mwalimu Nyerere kwa mwaka 1969 kikieleza  kwa jinsi walimu wakitaka kuliangusha Taifa wanaweza na wakitaka kulijenga Taifa, kwani wao ndio wamekuwa na jukumu kubwa la kutunza, kulinda na kujenga maadili  ya watoto na pia wamekuwa wasimamizi wazuri wa miradi ya maendeleo katika shule zao wanayopelekewa na Serikali. Tuanawaomba walimu waendelee kuwa chachu ya kusimamia,kudumisha na kulinda maadili ya watoto licha ya kuwa na vikwazo mbalimbali na tusisite kutoa taaraifa yoyote ya uvunjifu wa maadili katika jamii inayotuzunguka.


Niombe makundi ya vyama vyenu  yasiwe chanzo chakushusa Elimu au mmonyoko wa maadiliya Walimu,ni vyema tukae tuondoe tofauti zetu kupitia wawakilishi wa vyama hivyo, “amehitimisha kwa kusema hayo Komredi James”


 

“KWA PAMOJA TUNAIJENGA MBULU YETU”

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.