Friday 13th, September 2024
@uwanja wa mpira shule ya haydom
Mchezajiwa timu ya Dongobesh FC Antipas Vicent akiwa amebebwa juu juu namchezaji mwenzake mara baada ya kumalizika kwa mchezo katika yake natimu ya Stand FC ya Mjini Haydom ambapo mchezaji huyo ndiye aliyeifungiatimu yake goli 1-0 na timu ya Dongobeshi kufanikiwa kuingia nusufainali katika michuano ya Kurugenzi Cup 2018 linaloandaliwa naHalmashauri ya wilaya ya Mbulu, Mchezo huo umefanyika kwenye uwanja waShule ya Msingi ya Haydom.ikidhaminiwa na Kiwanda cha maziwa cha ASAScha Iringa.
Wachezajiwa timu ya Dongobash FC wakisikiliza maelezo ya Mmoja wa Waratibu wamichuano hiyo Bw. Phars Nyanda wakati akiwapa utaratibu mara baada yamchezo huo kumalizika.
Benchila Ufundi la Timu ya Dongobesh FC likinyanyuka juu na kushangilia marabaada ya kuifunga timu ya Stand FC ya mjini Haydom katika mchezouliofanyika leo jioni kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Haydom.
Golikipawa timu ya Stand FC ya mjini Haydom akisaidiwa na wenzake mara baada yakuumia wakati wakiwania mpira uliokuwa unaingia golini mwake katikamchezo huo.
Hekahekagolini mwa timu ya Stand FC ya mjini Haydom wakati wachezaji wa timu yaDongobesh FC wakiliandama goli la wapinzani wao.
Pichazikionyesha wachezaji wa Dongobesh FC na Stand FC ya Haydom wakichuanakuwania mpira wakati mchezo huo ukiendelea kwenye uwanja wa Shule yamsingi Haydom leo.
Picha zikionyesha wachezaji wa Dongobesh FC na Stand FC ya Haydomwakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja waShule ya msingi Haydom leo.
Kikosi cha timu ya Dongobesh FC kilichotinga Fainali baada ya kushinda goli 1-0 dhidi ya Stand FC ya Haydom.
Kikosi cha timu ya Stand FC ya Mjini Haydom kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mchezo huo
Picha mbalimbali zikionyesha mashabiki wa soka wa mjini Haydom walivyojitokeza kushuhudia mchezo huo.
Akinamama ni miongoni mwa mashabiki wa soka wa mjini Haydom waliojitokezakushuhudia mchezo kati ya Stand FC ya mjini Haydom na Dongobeshi FC.
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.