Friday 13th, September 2024
@MBULU
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ndugu Hudson S. Kamoga anasikitika kuwatangazia wananchi wote kuwa aliyekuwa Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mhandisi Elias Bilomo amefariki dunia hii leo akiwa anapata matibabu yake katika hospitali teule ya Haydom iliyoko Wilayani Mbulu Mkoani Manyara.
Taratibu na taarifa zingine za mazishi tutaendelea kuwajulisha.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
PUMZIKA KWA AMANI ENG. ELIAS BILOMO
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.