• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

Kurushwa hewani: January 31st, 2025

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu mheshimiwa Joseph Mandoo amewataka madiwani na  wakuu wa idara wote kushirikiana ili kuhakikisha wanafunzi wote wanaripoti shule kabla ya muda uliopangwa kuisha.

Hayo yamesemwa wakati akifungua baraza la madiwani robo ya pili ya Octoba-Desemba 2024/2025 ambapo amesea kuwa serikali inatumia fedha nyingi kujenga mashule lakini mwisho wa siku vyumba vinakua tupu au wanafunzi wachache kitu ambacho sio sawa na tunarudisha nyuma juhudi za Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.

“Wanafunzi wote waliofaulu Kwenda kidato cha kwanza wahimizwe Kwenda shule kwa kushirikiana maafisa elimu pamoja na watendaji kata na vijiji.”alisema Mheshimiwa Mandoo.

Pia Mh Mandoo alisema kuna umuhimu wa kujitathimini kwanini shule zetu za msingi bado hazifanyi vizuri sana,hivyo mikakati lazima ifanyike ili ufaulu uongezeke.Pia alisema kuwe na utaratibu wa kupongeza walimu na shule zinazofanya vizuri ili kuleta motisha kwa wengine nao wafanye vizuri,lakini pia inaleta hari kuwa wametambulika na kufanya waendelee kufanya vizuri.

Naye mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu ndugu Abubakari Kuuli alisema uandikishaji wa wanafunzi wa elimu msingi na uripotiji wa wanafunzi wa sekondari bado hauridhishi licha ya kuwashirikisha watendaji kata kwenye zoezi.Hadi sasa ni asilimia 51 za wanafunzi wa elimu msingi ndio wameandikishwa na asimilia 52 ndio wameripoti shule kwa upande wa sekondari.

Pia Mkurugenzi alitoa ripoti ya ufaulu kwa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2024 na kusema kuwas ufaulu umefika asilimia 98.7 ambapo umeongezeka kwa asilimia 3.7 kutoka matokeo ya mwaka 2023.

Pia alisema kama halmashauri wanamkakati wa kuunda kamati ambayo waheshimiwa madiwani watakwep ndani yake kukaa na shule zilizofanya vizuri na zile ambazo hazijafanya vizuri ili kujua changamoto ni nini mpaka inapelekea shule nyingine zinafanya vizuri na nyingine hazifanyi vizuri.pia kwa shule ambazo zitakua zimefanya vizuri zitapewa zawadi na zile ambazo zitafanya vibaya watawajibika.

 Naye Mbunge wa Mbulu vijijini Mheshimiwa Flatei Massay aliwapongeza madiwani na wakuu wa idara wote kwa kazi kubwa waliyoifanya mpaka kuleta ufaulu mzuri kwenye shule za halmashauri na kuunga juhudi za Rais Samia kwa vitendo.

Naye Katibu Tawala wa wilaya ya Mbulu Paulo Bura alitoa maagizo kwa mkurugenzi  wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu kuhakikisha shule ya sekondari Eshkesh wanafunzi wanaripoti haraka iwezekanavyo.Pia alisema japo serikali imetoa muda wa wanafunzi kuripoti shule hadi March 31 lakini mwanafunzi atakaye ripoti January na atakayeripoti March hawawezi kuwa sawa darasani.Hivyo wazazi wahimizwe wapeleke wanafunzi mapema hata kama hawana sare.

Naye mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Mbulu ndugu, aliwashukuru viongozi wote kwa kazi kubwa  wanayoendelea kuifanya na kuwaomba shule za sekondari za kidato cha 5 na 6 ziongezwe kwani halmashauri hii ni kubwa na shule zilizopo ni mbili tu,kwa kuongeza shule hizi kunaleta ufaulu kuongezeka kwani wanafunzi wa madarasa ya chini nao watatamani kufika walipo wenzao.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.