Bodi ya afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wameketi leo Tarehe 29/08/2025 kujadili maswala mbalimbali yanayohusu afya.
Kikao kimefanyika katika ukumbi mdogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu,ambapo wamejadili vitu mbalimbali ikiwemo huduma za afya tiba kama upatikanaji wa dawa,chanjo,damu salama,uzazi wa mpango,afya kinga,utekelezaji wa shughuli za lishe na taarifa ya ustawi wa jamii ikiwemo ukatili wa kijinsia na misamaha ya matibabu
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.