• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • WAHESHIMIWA MADIWANI
    • MADIWANI VITI MAALUM
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

DC - MBULU AWATAKA VIONGOZI NA WATENDAJI KUZINGATIA UADILIFU NA UWAZI KATIKA MATUMIZI YA MICHANGO YA WANANCHI.

Kurushwa hewani: June 27th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Mbulu Komred Kheri James ametoa maelekezo hayo leo katika ziara ya kusikiliza kero za Wananchi na kukagua miradi ya maendeleo katika Kata ya Maghang na Haydom katika Halmashauri ya wilaya ya Mbulu.    

                             

Akizungumza katika mikutano miwili ya kata hizo, Komred Kheri James kaeleza kuwa hamasa ya Wananchi ya kuchangia shughuli za maendeleo, isitumike kama kichaka cha watendaji na viongozi wachache wasio waaminifu kujivunia fedha hizo kwa maslahi binafsi.    

                                  

Komred Kheri James amesisitiza pia, Ushirikishwaji wa Wananchi katika kuibua miradi, kuidhinisha michango na kusomewa mapato na matumizi ni jambo la lazima na sio hisani ya viongozi kwa Wananchi.    

                              

Pamoja na mambo mengine Komred Kheri James amewapongeza Wananchi wa Kata ya Haydom na Maghang kwa kasi yao kubwa ya kuchangia shughuli za maendeleo, na amewaahidi kuwa Serikali itaongeza ufatiliaji katika michango yao, na kuchukua hatua kwa wale wote watakao jihusisha na ubadhirifu wa fedha hizo.       

                 

Katika ziara ya Kata hizo mbili ilio hudhuriwa pia na viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu, watumishi na viongozi, Mkuu wa wilaya ametembelea miradi ya Elimu yenye jumla ya shilingi milioni mianne hamsini.

 

#Kwapamoja,Tunaijenga Mbulu yetu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI October 20, 2025
  • TANGAZO LA USAFI JUMAMOSI YA MWISHO YA MWEZI November 28, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA HIARI January 27, 2026
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO YAFANYA UKAGUZI WA NYUMBA ZA KUPANGISHA ZINAZOONGEZA MAPATO YA HALMASHAURI

    March 10, 2026
  • DC SEMINDU AONGOZA TIMU YA WATAALAM KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

    March 04, 2026
  • HATUA ZA MKUU WA WILAYA ZAWAFARIJI WACHIMBAJI WADOGO BAADA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI, UMEME NA MAWASILIANO

    March 04, 2026
  • FURAHA KWA SEKONDARI DINAMU: WAZIRI MKUU AAHIDI SHILINGI MILIONI 153 KUJENGA HOSTELI

    March 02, 2026
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DC SEMINDU AAGIZA WATENDAJI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA UTOAJI WA LISHE KILA KIJIJI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.