• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

DONGOBESH YAFANYA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA

Kurushwa hewani: November 8th, 2019

Kikao cha baraza la madiwani limefanyikwa kwa mara ya kwanza hii leo tarehe 8/11/2019 katika mji wa Dongobesh ikiwa ni kikao cha kawaida  kujadili taarifa mbalimbali za Kamati za kudumu za halmashauri kama vile elimu,Afya, Uchumi, fedha na Mipango, Huduma za jamii na kadhalika hii ni mara tu tangu kuhama kwa Makao Makuu katika Mji wa Dongobesh toka tarehe 30/10/2019 kutokana na tamko la Mhe. Waziri wa Tamisemi kuzitaka Halmashauri 81 nchini kuhamia Makao Makuu ya halmashauri husika.

Muonekano wa ndani wa Kikao cha Baraza katika Soko la wazi  la Dongobesh maeneo ya Stendi.


Akifungua kikao hicho cha baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Mhe. Joseph G.Mandoo amelipongeza baraza la Madiwani kwa ujumla pamoja na timu nzima ya Wataalam kwa kuridhia kuhamisha Makao Makuu katika Mji wa Dongobesh na kusogeza huduma karibu na Wananchi.

Aidha amewaomba wananchi kutoka sehemu mbalimbali ndani ya Dongobesh na nje ya Dongobesh kuchangamkia fursa mbalimbali zitakazojitokeza ikiwa ni pamoja na kuchukua Viwanja vitakavyogawiwa kwa wananchi wote bila upendeleo.


Akitoa salamu za Serikali Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bi. Sara amelipongeza Baraza la Madiwani na Wataalam kukubali kufanyia Dongobesh hata pasipokuwa na eneo la Mikutano nah ii ni kuonesha jinsi gani uongozi unapokea maagizo mbalimbali yanayotolewa na Serikali.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbulu Bi. Saraha akipitia kabulasha linalowasilishwa wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani katika Mji wa Dongobesh


Bi. Sara ameendelea kusema kuwa Serikali imejipanga kuboresha Mji wa Dongobesh na kwa bajeti ya mwaka huu wa fedha zimetengwa fedha kwa ajili ya Ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa km.50 kutoka Mbulu kupitia Dongobesh mpaka Haydom hii ni kuonesha jinsi gani Serikali ya awamu ya tano iko karibu na wananchi kwa kuwahudumia zaidi.

Ndugu Hudson S. Kamoga Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu akiwa katika Kikao cha Baraza

Akiongea katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji ndugu Hudson S.Kamoga amelipongeza Baraza la Madiwani kwa kuendelea kuonesha ushirikiano wa dhati kwa Wataalam na kuzidi kuwaomba kushirikiana zaidi hasa kwa kuwatumika kwa karibu zaidi.

Ndugu Kamoga ameipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa ni jinsi gani imehamua kuleta maendeleo makubwa zaidi kwa Wananchi wa Mji wa Dongobesh kwani Serikali imewekeza miradi mikubwa yenye thamani ya  fedha nyingi za wananchi kama vile Ujenzi wa Makao Makuu, Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya, ukarabati na Uboreshaji wa huduma za Jamii katika Kituo cha Afya Dongobesh, Ujenzi Mkubwa wa bwawa la Umwagiliaji, Ujenzi wa barabara ya lami kwa urefu wa Km.1 na maendeleo mbalimbali.

Mhe. Flatei Massay akichangia jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani liliofanyika katika mji wa Dongobesh


Akichangia katika kikao hicho cha Baraza la Madiwani Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Mhe. Flatei Massay amewahidi kuendelea kuonesha ushirikiano wa hali ya juu kwa kufuatilia ahadi zote zilizokwisha kuhaidiwa na Mawaziri mbalimbali waliokwisha pita katika jimbo hilo kwa mfano ukamilishaji wa Ujenzi la Utawala, ahadi za maji sehemu mbalimbali na amelihakikishia baraza hilo baadhi ya  vijiji visivyokuwa na umeme utawaka karibuni.

Makamu Mwenyekiti na Mwenyekiti wa kamati ya fedha  Mhe. Joseph Barabojick(Diwani kata ya Dongobesh -CCM) akiwasilisha taarifa ya kamati yake mbele ya Wajumbe wa Baraza

Mhe. Ester Joel Mwenyekiti Kamati ya Uchumi  na Diwani Viti Maalum kata ya Dongobesh(CCM) akiwasilisha taarifa ya kamati yake


Mwenyekiti wa Kamati za Huduma za Jamii Mhe. Joseph Tsaxaitu na Diwani wa Kata ya Masieda (CCM) akijibu baadhi ya hoja zilizoulizwa na Wajumbe

Katika kikao hicho cha Baraza kiliweza kujadili mambo mbalimbali ya kimaendeleo kutokana na jinsi Kamati zilivyowasilisha na kujadiliwa, aidha Baraza limeridhia kukabidhi Jengo lililokuwa la Utawala kwa Halmashauri ya Mji kwa hati ya makubaliano,kwani kutokana na mgawanyo wa Mali na Madeni Jengo hilo la Halmashauri lilikuwa ni mali halali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.


Ndugu Horace Kolimba Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu   ikilieeza Baraza jinsi hatua gani zitatumika katika kukabidhi jengo la Utawala



Kamati ya Ulinzi na Usalama wakiwa katika kikao cha Baraza la Madiwani





Timu mbalimbali za Wataalamu wakiwa ukumbini kufuatilia Mada mbalimbali zinazochangiwa na Wajumbe.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.