• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Yaongeza Kasi ya Kutoa Elimu Kwa Jamii Ngazi ya Kata na Vijiji Juu ya Lishe Bora

Kurushwa hewani: July 14th, 2022

Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji (W) Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Abubakar A. Kuuli, Katibu wa Afya Wilaya ya Mbulu na Mwisho ni Afisa Lishe (W) Ndg. Ally Fupi .

Aliyesimama ni Afisa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Ally Fupi .

Wajumbe wa Kamati ya Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu



~~~~~~~~     HABARI KAMILI     ~~~~~~~~



Katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji shughuli za lishe kwa kipindi cha julai 2021 - juni 2022 

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu imefahamika kwamba ina jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 30, kati ya hizo vituo 25 vinavyotoa huduma za kliniki ya uzazi na mtoto pia kuna jumla ya kliniki mkoba na tembezi 33. Katika kipindi cha Julai 2021 hadi Juni 2022 halmashauri kupitia Idara ya afya imetekeleza shughuli mbalimbali za lishe kama vile kufanya uhamasishaji na kutoa elimu juu ya lishe bora ngazi ya jamii kwenye kata 13, kutoa matone ya vitamin A na dawa za minyoo kwa watoto chini ya miaka 5 watoto 51,173 sawa na 104% ya waliopata matone ya Vitamini. “A”.

Tulipokea chakula dawa kutoka bohari kuu ya dawa ya Taifa “MSD” na Mkoani, makasha 18 yenye ujazo wa  P/150.  Makobo 48 ya maziwa (F75) kutoka bohari kuu ya dawa ya Taifa “MSD” kwa ajili ya watoto wenye utapia mlo. Katika kuhakikisha watoto wanakuwa salama na hali ya utapiamlo, idara ya afya iligawa chakula dawa na maziwa ya kopo kwa watoto 14 waliokuwa na utapia mlo mkali na watoto 73 walio kuwa na utapia mlo wa wastani. Ili mama awe na uzazi bora anahitaji  madini ya chuma ambapo kwa akina mama wajawazito 43,521 sawa na 92.3% walipata madini ya chuma kati ya akina mama 40,211 walio hudhuria kliniki ya uzazi na mtoto.

Kwa idara ya afya kitengo cha lishe kuna changamoto kadhaa ambazo tunaedelea kuzitatua kwa kushirikiana na jamii husika kama vile; Uelewa mdogo juu ya lishe bora kwa jamii, muitikio mdogo kwa  wanaume kupeleka wake zao kliniki pamoja na kupata elimu ya uzazi. Pia baadhi ya akina mama huchelewa kuanza kliniki ndani ya wiki 12 na wengine kujifungulia majumbani na mwisho ni suala la akina mama kutokuzingatia uzazi wa mpango kwani huzaa watoto kwa muda mfupi chini ya miaka miwili.

Kwa kuwa wataalamu wapo na nyenzo zingine za kufanyia kazi tutaendelea kuongeza kasi ya kutoa elimu kwa jamii ngazi ya kata na vijiji juu ya lishe bora na umuhimu wa kuanza kliniki ya uzazi wa mama na mtoto mapema zaidi kwa mwaka wa fedha 2022-2023. Kufanya mafunzo msasa kwa watumishi ngazi mbalimbali ili kuwa na uelewa msawazo katika ngazi zote. Katika sekta ya elimu tutaendelea kutembelea na kutoa elimu juu ya lishe mashuleni Msingi na Sekondari ikiwa ni pamoja na kuunda klabu za lishe 20 na kuziimarisha klabu zilizopo mashuleni.

Ili kuwa na lishe bora uwepo wa chakula pekee hakukidhi haja bali  kwani mapishi stahiki ni suluhisho la kupata virutubisho vyenye kiwango cha juu hivyo kuwepo kwa mafunzo darasa “cooking class demonstration” kila robo mwaka ngazi ya jamii katika kata 4 litafanyika. Halmashauri itaendelea kuongeza fedha za lishe kupitia  idara na vitengo vilivyopo ili kuzifanya  shughuli za lishe kuwa zenye tija zaidi na endelevu kwa jamii.





Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.