• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Maadhimisho ya siku ya afya na Lishe Halmashauri ya Wilayani Mbulu.

Kurushwa hewani: March 1st, 2023

Ilikuhakikisha wananchi wa Wilaya ya Mbulu wanapata lishe na afya bora, halmashauri ya wilaya ya Mbulu imedhamilia kutokomeza tatizo la utapia Mlo Kwa watoto.

Wataalamu wa Idara ya afya halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wakionesha mfano wa darasa mapishi kwa wanakijiji wa Diyomati.

Watumishiwa Idara ya afya wameshiliki kikamilifu katika maadhimishoya siku ya afya kwa kuungana na wananchi wa vijiji vya Diyomat, Hayderer na Dongobesh kutoa elimu ya lishe na darasa la Mapishi bora ili kuandaa lishe na chakula bora kwa mtoto.

Bi. Loveness Mollel- Katibu wa Afya akisisitiza ulaji wa vyakula vya asili kwa wananchi wa Kijiji cha Hyaderer.

“Tatizo la utapia mlo limekuwa ni sehemu kubwa inayoathiri hali ya ukuaji wa mtoto hivyo inatulazimu kama Wataalamu kutoka ofisini na kupita vijijini kutoa elimu ya lishe na darasa la mapishi kwa ufasaha” ameyesema hayo Dr. Ally Fupi Kaimu Mratibu wa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu katika vijiji vitatu.

 

Dr. Ally Fupi kaimu Afisa lishe halmashauri ya Wilaya ya Mbulu akimpatia mtoto moja kirutubisho bora walichokiandaa katika maadhimisho ya lishe kwa wananchi wa dongobesh.

Aidha wananchi wamesisitizwa kuzingatia kanuni na taratibu mbalimbali za lishe zinzotolewa na wataalamu ili kuepukana na tatizo la Utapia Mlo.

 Muuguzi - Prisca Mukhay akigawa chakula kwa watoto   wa dongobesh waliojitokeza na wazazi wao  katika maadhimisho ya lishe 

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

    May 16, 2025
  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.