• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani Yafana Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Tarehe 08.03.2023

Kurushwa hewani: March 9th, 2023

Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Mbulu Mhe. Flatei G. M Akihutubia Katika Sikukuu ya Wanawake Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Moses Nduligu Akisalimia Wananchi na Kumkaribisha Mgeni Rasmi

Meza Kuu Wakikagua Mabanda ya Wajasiriamali na Bidhaa Zao

Zoezi la Upandaji Miti kwa Meza Kuu

Bi. Mary Akonaye Mwakilishi Toka Tawi la TALGWU Hospitali ya KKKT Haydom kitoa Mada

Bi. Mchaki Akitoa Mada za Uzazi kwa Akina Mama toka Hospitali ya Wilaya ya Mbulu



Kwa Kadri Muda Ulivozidi Kuyoyoma Ndivyo Mambo Matamu Yalivyozidi Kunoga Uwanjani Hapo, DJ IMA Akiendelea na Utoaji wa Burudani Moja Baada ya Nyingine Katika Sikukuu Hiyo.



~~~~~~~~~~~~~     HABARI KAMILI     ~~~~~~~~~~~~~


Maadhimisho ya sikukuu ya wanawake duniani yaliyofanyika kiwilaya Kata ya Dinamu Kijiji cha Muslur ambapo Mgeni Rasmi alikua ni Mbunge wa Jimbo la Mbulu Mhe. Flatei G. M Tarehe 08.03.2023, kauli mbiu ya mwaka huu ni; "UBUNIFU NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA: CHACHU KATIKA KULETA USAWA WA KIJINSIA.


Katika maadhimisho haya elimu ya ukatili kwa akina mama, akina baba na watoto ilitolewa kwa hadhara yote ambapo changamoto ni afya ya akili lakini juhudi za kutatua tatizo hili ni kufika katika Ofisi ya Halmashauri yoyote nchini na kuwaona maafisa ustawi wa jamii ili kuweza kutatua changamoto husika. Akina mama wajawazito wameelimishwa kuwa wanatakiwa kufika kliniki pale tu anapohisi anao ujauzito hii itasaidia kupunguza kasoro mbalimbali zitakazojitokeza kipindi chote cha ujauzito hadi uzazi, kwasababu hali ya maisha na uhimilivu wa magojwa kwa binadamu kwa sasa ni tofauti sana na maisha ya miaka 50 iliyopita.


Hata hivyo katika maadhimisho haya yalisheheni burudani za kukata na shoka mwanzo mwisho zilizolindima uwanjani hapo kiasi cha kupelekea washiriki wote kila mmoja kumwagilia moyo kwa kadri anavyoweza huku milindimo ya pwani, kwaito, bongofleva, zouk na bolingo zikitambaa kwa kishindo katika uwanja wa Kata ya Dinamu uliojaa pomoni. Mashairi, ngoma na kwaya zimeimbwa wakiishukuru serikali katika utoaji wa mikipo ya 10% na kusisitiza serikali na  taasisi zisizo za kirerikali  kuweza kusaidia maendeleo ya ustawi wa jamii kiwilaya.  


Mgeni rasmi alikagua mabanda ya vikundi vya wajasiriamali kama vile kikundi cha SAUMU BASHAY kinachoongozwa na Consolatha Deemay hawa wanasindika vitunguu saumu na kutoa bidhaa mbalimbali, kikundi cha APPLE DIYOMAT kipo Kata ya Dinamu nacho kinasindika bidhaa za zinazotokana na vitunguu saumu. Kikundi kingine ni cha PAMEC ambapo kiongozi wao ni Anne Robert kinachojishugulisha nabidhaa zitokanazo na ufinyanzi na mapambo ambapo wako kata ya Dongobesh, na mwisho ni MELANIA BAJUTA naye yupo kata ya Dongobesh anajishugulisha na uuzaji wa nguo za ndani na mashuka. vikundi hivi kwa ujumla wao wanachangamoto zinazofaana ambazo ni mtaji mdogo na namna ya kupata masoko ya uhakika katika bidhaa zao. Ila Halmashauri imeshawapatia wahusika wote mikopo ya makundi maalumu ya wanawake.

Katika hafla hii kulikuwepo na zoezi la utunzaji wa mazingira kupitia upandaji miti ambapo Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Mbulu Mhe. G.M Flatei alikuwa wa kwanza kisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mhe. Joseph G. Mandoo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Mosses Nduligu na Diwani Viti Maalumu tarafa ya Dongobesh Mhe.Kipapai.

MWISHO!

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

    May 16, 2025
  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.