• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Maafisa wa Taasisi ya Ustawi wa Wanyama Tanzania (TAWESO) Watoa Mafunzo ya Usimamizi Bora wa Mifugo Minadani na Katika Usafirishaji Kwa Wataalamu wa Mifugo Wilayani Mbulu Tarehe 02.09.2022

Kurushwa hewani: September 5th, 2022

wa Kwanza Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Abubakar A. Kuuli Akiwa na Maafisa wa TAWESO Bi.Subira Ndutu na Ndg. Mbise B. Anord Ofisini Kwake Katika Kujitambulisha.


wa Kwanza Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Ndg. Moses Nduligu, Wapili ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndg. Abubakar A. Kuuli na Kulia ni Afisa wa TAWESO Bi.Subira Ndutu Katika Kujitambulisha Ofisini Kwake.


Picha za Hapo Juu ni Mafunzo Yakiendelea Katika Ukumbi Mdogo wa Halmashauri 

Pakua bango kadhaa hapo chini:-

MBULU DC SEKTA MIFUGO 1.jpg

MBULU DC SEKTA MIFUGO 1 SEC.jpg

MBULU DC SEKTA MIFUGO 3.jpg

~~~~~~~~~~~~~    HABARIKAMILI     ~~~~~~~~~~~~~

Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu yaliyojumuisha wataalamu wote wa mifugo katika halmashauri ya wilaya ya Mbulu na wasimamizi wa minada ya Halmashauri kwani nao ni wadau wakuu katika usimamizi wa mifugo minadani na kuona namna mifugo hii inavyoletwa minadani, kuunzwa na hadi kupakiwa kwenye vyombo vya moto kwa ajili ya kusafirishwa kwenda kwenye masoko mbalimbali ndani na nje ya nchi, ambapo elimu waliyoipata hapa wataishusha kwa wananchi kupita mihadhara mbalimbali ikiwamo mikutano ya vijiji, minadani na magulioni na sehemu zingine nyingi.

Kwa mafunzo haya itapelekea wananchi mbalimbali kujua taratibu sulihishi za kumfanya mnyama ajiskie huru kama vile kutowekwa juani mda mrefu, kupigwa na fimbo kubwa ikiwa ni pamoja na kuwavuta wanyama mbalimbali kwa nguvu kwa kutumia kamba na pia kipindi cha kuwaswaga kutumia nguvu nyingi hadi wengine kupelekea kuumia. Madhara yake ni kwamba unaharibu ubora wa vitu mbalimbali vinavyodhalishwa kutokana na kuchinjwa mnyama husika au kutoa bidhaa hafifu kama vile maziwa.

Faida ya kutunza wanyama wako; kutoingia kwenye mkono wa sheria ya adhabu ambayo ni sheria ya ustawi wa wanyama ya mwaka 2008, mnyama mwenye afya atauzwa kwa bei ya juu sana awapo sokoni hivyo kukuletea kipato kizuri ukiwa kama mjasiriamali, ambapo kuwasafirisha kwa kutozingatia mazingira bora ya usafirishaji hupelekea baadhi ya wanyama wanaporundikana wengi ambao ni dhaifu hufa njiani na wengine hupata majeraha yanayopelekea mnyama kuteseka na mfanyabishara kupata hasara ya kupungua kwa idadi ya mifugo aliyonayo, kwa hiyo wataalamu hawa wanasisitiza kuwepo kwa miundombinu  rafiki kwa ajili ya wanyama wote

Kimsingi TAWESO ni shirika lisilo la kiserikali ambalo makao maku yao yapo Dar es salaam wakifanya kazi hizi kwa msaada wa shirika la Welttierschutzgesellschaft (WTG) la nchi ya Ujerumani, kwa mawasiliano ni 0713 322796 / 0752 660101 au kwa barua pepe info@taweso.org na katika tovuti ni www.taweso.org

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya mbulu Ndg. Abubakar A. Kuuli ameishukuru Taasisi hiyo ya TAWESO kwa elimu hii kwa wataalamu wake kwani itakuwa chachu ya kutumia njia bora ya kutunza na kusafirisha wanyama hawa ambapo kwa halmashauri ya mbulu mifugo na minada ni mingi.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.