 Kurushwa hewani: September 17th, 2018
 
            Kurushwa hewani: September 17th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anawakaribisha Wananchi wote kwenye Mpokezi Mbio za Mwenge wa Uhuru utakaofanyika kata ya Masqaroda tarehe 21/9/2018 saa Mbili kamili asubuhi na kisha kukimbizwa kwa kata mbalimbali na kuhitimisha mbio hizo kwa mkesha utafanyika kata ya haydom katika Viwanja ya Ofisi ya kata.
Sambamba na Mkesha huo kutakuwa burudani mbalimbali za kukata na shoka kama vile LIVE BAND TOKA MJENGONI CLASSIC,NGOMA ZA ASILI, VIKUNDI ZA KWAYA, na burudani mbalimbali.
BOFYA HAPA KUONA WIMBO WA MWENGE NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU
 
  
          
                              
                              
                            Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.