• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt. Chelestino Simbalimile Mofuga afungua mafunzo ya Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wa Umri Chini ya Miaka 5 Wilayani Mbulu Leo Tarehe 07.05.2021

Kurushwa hewani: May 7th, 2021

Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt. Chelestino Simbalimile Mofuga Akifungua Mafunzo ya Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wa Umri Chini ya Miaka 5 Yaliyofanyika Katika Ukumbi wa Wanawake Mbulu Mjini Tarehe 07.05.2021

Katikati Aliyevaa Suti ni Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt. Chelestino Simbalimile Mofuga Katika Picha ya Pamoja na Wakufunzi wa Kitaifa na wa Wilaya ya Mbulu  Katika Ukumbi wa Wanawake Mbulu Mjini Tarehe 07.05.2021

Katikati Aliyevaa Suti ni Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt. Chelestino Simbalimile Mofuga Akiwa Katika Picha ya Pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Baada ya Mafunzo Hayo Katika Ukumbi wa Wanawake Mbulu Mjini Tarehe 07.05.2021

Wanaoonekana Mbele ni Watumishi Hao Wakiwa Kwenye Mafunzo Kwa Vitendo Katika Ukumbi wa Wanawake Mbulu Mjini Tarehe 07.05.2021

Kulia Aliyevaa Shati Jeupe ni Afisa Ugavi wa Mbulu Bw. Edwin Akiwa Katika Zoezi la Kugawa Vifaa Kwenye Mafunzo Hayo Tayari kwa Kazi Katika Ukumbi wa Wanawake Mbulu Mjini Tarehe 07.05.2021




Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Mbulu Wakila Kiapo cha Utii na Kazi Kwenye Mafunzo Hayo Tayari kwa Kazi Katika Ukumbi wa Wanawake Mbulu Mjini Tarehe 07.05.2021










~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~`   TAARIFA KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~





Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt. Mofuga amewaasa watumishi wanaofundishwa kazi hii na kwenda kutekeleza kwa vitendo ni lazima wasikilize kwa umakini mafunzo yanayotolewa hapa na wataalamu wa "RITA" Taasisi ya inayoshugulikia usajili wa vizazi na vifo  ngazi ya kitaifa na wale wa ngazi ya wilayana kauli mbiu ni "Mtoto anastahili cheti cha kuzaliwa mpe haki yake". Katika zoezi hili uwe mwadilifu katika kazi hii kwa kuzingatia kuwahi, kuwa na lugha nzuri na kujaza taarifa sahihi kwani lazima uwajibike kama ukienda kinyume na utaratibu zilizopangwa pia mwisho ni lazima tufanye kazi kwa uzalendo wa hali ya juu ili kutoa vyeti kwa watu sahihi.

Kwa Wilaya yetu wageni bado wamo kutokana na muingiliano wa masuala ya kiuchumi na biashara, andikisha mtoto aliyezaliwa Tanzania ili tusije tukapandikiza wageni. Cheti cha kuzaliwa ni utambulisho wa kwanza wa mtoto, kitamuwezesha mtoto kupata elimu na maisha bora na ni haki yake pia.


Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt. Mofuga aliongezea kuwa ukienda kufanya kazi kinyume na sheria kanuni na tararatu zilizowekwa tutashugulika na wewe. Hata hivyo mafunzo haya ni ya siku 3 kuanzia leo tarehe 07.05.2021 hadi 09.05.2021 ambapo baada ya hapa, tarehe 11.05.2021 mtaanza zoezi rasmi la usajili kwa Wilaya nzima kwa kwata zote 18 za Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwa muda wa siku 12 hadi tarehe 22.05.2021 baada ya hapo ofisi ya Mkuu wa Wilaya itakuwa inaendelea kutoa vyeti hivi kwa utaratibu maalumu wa kulipia tofauti na sasa ni bure na serikali inagharamia kila kitu. Wananchi wengi hawapati vyeti sababu ya kuwa mbali na Wilaya lakini tukumbuke kuwa wenye umri zaidi ya miaka 5 sio wanufaika katika zoezi hili.


Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt. Mofuga ametoa angalizo na utekelezaji kwa kabila la wahadzabe ambao wanapatikana pia katika Wilaya ya Mbulu Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W) Mbulu kwa kushirikiana na "RITA" ihakikishe inaangalia kwa jicho la tatu kwani hawa watu elimu ya kuwa na cheti cha kuzaliwa bado ni duni kwao, hivyo ametaka kuwepo utaratibu maalumu wa namna ya kutunza vyeti hivi kwa usalama zaidi. 

Mwisho amewashukuru wataalamu ngazi ya kitaifa kwa kuuleta mpango huu kwenye wilaya kongwe kama ya mbulu.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.