• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

MKURUGENZI AFANYA KIKAO CHA TATHIMINI YA LISHE ROBO YA NNE MBULU DC.

Kurushwa hewani: July 17th, 2023

Dongobesh 17/07/2023


Mkurugenzi Mtendaji ndugu Abubakar Kuuli hii leo ameongoza kikao cha tahimini ya hali ya lishe kwa kipinidi cha aprili hadi  juni 2023 katika ukumbi wa  vikao vya halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kilichoshirikisha Wataalam ngazi ya Wilaya na wataalam kutoka Idara ya Afya.


Akisoma taarifa ya hali ya lishe ndugu Martin Mwandiki( Mganga Mkuu wa Wilaya), amesema tuna jumla ya vituo 31 vya kutolea huduma za Afya,kati ya vituo hivyo , vituo vitatu(3) vya Dongobesh,Hyadom na St. Aloisi vinatoa huduma  ya matibabu ya utapia mlo mkali wodini kwa watoto waliolazwa na kueleza hatua zinazoendelea kuchukuliwa ili kutokomeza hali hii.

Aidha ameeleza  shughuli mbalimbali zimeendelea kufanywa ikiwa ni pamoja na otuaji wa matone ya Vitamini A watoto chini ya miaka mitano,uchunguzi wa hali ya lishe, utoaji wa madini chuma kwa akina mama wajawzito, elimu ya lishe  na utoaji wa mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii.


Akiongea kwa upande wa lishe Bi. Jackline ambaye ni Afisa lishe wa Wilaya,  amesema tumefanikiwa kutoa  lishe kwa asilimia mia, aidha tunaendelea kutoa  elimu ya lishe na mapishi darasa kwa ngazi ya vijiji,na kuendelea kutoa elimu juu ya uandaaji wa lishe bora kwa watoto.

“Niwatake wataalam wa Afya kuhakikisha hatulali na tunazunguka katika vijiji vyote, mashuleni na vituo vya kutolea huduma mkishirikiana na Watendaji katika kupambana na kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa lishe bora na namna ya uandaaji wa chakula bora cha lishe kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano”. Alisema hayo Mkurugenzi  alipokuwa akihitimisha kikao hicho.


"KWA PAMOJA TUNAIJENGA MBULU YETU"

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

    May 16, 2025
  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.