• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mkurugenzi Mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Ndugu, A. A. Kuuli Akabidhiwa Rasmi Ofisi na Mkurugenzi Anayeondoka Ndugu, Hudson S Kamoga Leo Tarehe 09.08.2021

Kurushwa hewani: August 9th, 2021










Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Anayeondoka wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini Ndugu, Hudson S. Kamoga  na Kulia ni Mkurugenzi Mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini Ndugu,  Abubakar Abdullah Kuuli na Katikati ni Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini, Mandoo Wakiwa Katika Shuguli ya Makabidhiano.


Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini, Joseph Mandoo Akisaini Nyaraka za Makabidhiano.


Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini, Ndugu R. Kagaruki Akisaini Nyaraka za Makabidhiano.

Mkurugenzi Mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini Ndugu,  Abubakar Abdullah Kuuli Akizungumza Katika Makabidhiano Hayo



Picha Mbalimbali za Wataalam Katika Makabidhiano Hayo


~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~    HABARI KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~





Haya yamejiri leo katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijiji mbele ya wakuu wa Idara na vitengo na baadhi ya watumishi wengine. Katika makabidhiano hayo walihudhuria pia Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini Mh. Mandoo na Makamu wake.

Mkurugenzi anayeondoka amefanya mengi kwa kadri alivyoweza kwa kushirikiana na baraza la madiwani na wataalam wa halmashauri katika kufanikisha jukumu kubwa la kuwaletea maendeleo wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Vijijini.

Katika kipindi chote cha miaka mitano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu imeendelea kupata hati safi, ongezeko la utoaji wa fedha za makundi maalimu ya wanawake vijana na walemavu kutoka asilimia 0 mwaka 2015 hadi asiliamia 102 kwa miaka ya karibuni. kuongezeka kwa mapato ya halmashauri hadi kufikia shiling bilioni 1.35 kulikopelekea kuongeza kasi ya kutatua kero mbalimbali zikiwemo za watumishi.

Mwisho ndugu. Kamoga amewashukuru watumishi wote na waheshimiwa madiwani kwa kuwa naye  bega kwa bega katika kushirikiana kwenye kazi hii ngumu tangu alipoingia hadi sasa. Ameomba pande zote kushikrikiana ili kuleta maendeleo endelevu kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbul Vijijini. Hata hivyo ameomba pale alipokwaza asamehewe kwani ilikuwa ni katika hali ya kutekeleza majukumu ya kiserikali naye pia amesamehe kwa mambo mbalimbali yaliyopita.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mh. Mandoo alisisitiza kwa kusema tushirikiane vizuri na Mkurugenzi kwa kumpa ushauri wenye tija, tujitume katika kazi na kila atakaloambiwa na mtu yeyote kwa hapa Mbulu basi achuje kwa umakini sana kujua ukweli kabla ya kufanya maamuzi.

Mkurugenzi mpya ndugu, Abubakar Abdullah Kuuli amesisitiza kwamba ataweka kipaumbele kwa nguvu na ari  katika sehemu za ukusanyaji wa mapato, matumizi ya mapato ya ndani katika makundi maalumu yaani wanawake, vijana na walemavu kwa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, kusimamia miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inakamilika kwa muda mwafaka na kwa kiwango cha juu. Aliendelea kwa kusema uwepo na kauli nzuri kwa watumshi katika kuwahudumia watumishi wenzao na wananchi kwa ujumla, mwisho kufanya kazi kwa weledi kwa kila mtaalam.

Hivyo basi, kama wakuu wa idara na vitengo tukashirikiana vizuri, madiwani wakishirikiana vizuri na pia menejimenti ikishirikiana na baraza la waheshimiwa madiwani vizuri kila kitu kitakuwa rahisi na hakika tutafikia malengo tuliyojiwekea. Bado halmashauri ya wilaya ya mbulu ina changamoto za watumishi kama ilivyo katika halmashauri zingine hususan Idara ya Ujenzi, Ugavi, Utawala na Afya, tunaimani serikali itaendelea kusikiliza kilio hiki na kuleta watumishi.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.