• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Abubakar A. Kuuli Akabidhi Msaada wa Vifaa vya Maafa kwa Viongozi wa Kijiji cha Dongobesh na Yaeda chini Leo Tarehe 27.10.2021

Kurushwa hewani: October 27th, 2021


Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli Akikabidhi Vifaa Hivyo Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapo Juu, wa Kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Yaeda Chini Bi. Tatu Ismail.


Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli Akipokea Taarifa ya Mgao kwa Vijiji Hivi 2, Kutoka Kulia ni Afisa Malalamiko Wilaya ya Mbulu Bw. Edes Marlley Katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W)  Dongobesh - Mbulu.

Vifaa Husika Mikeka 10, Vikombe Vikubwa 10, Masufuria ya Wastani 10, na Galoni za Maji za Lita 10, 10


Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli Akikabidhi Vifaa Hivyo Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapo Juu, wa Kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Yaeda Chini Bi. Tatu Ismail.


Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli Akikabidhi Vifaa Hivyo Kama Inavyoonekana Kwenye Picha Hapo Juu, wa Kushoto ni Mh. Faustine Fisoo ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Qedesh.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli Akizungumza Katika Makabidhiano Hayo.






~~~~~~~~~~         HABARI KWA UNDANI        ~~~~~~~~~~


Haya yamejiri leo baada ya Mkurugenzi Mtendaji (W) kukabidhi mikeka kwa kila kijiji kwa vijiji hivi viwili kwa idadi ya mikeka 5, masufuria 5, vikombe vikubwa 5 na Magaloni ya maji ya lita kumi  5 kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kitengo cha Maafa kwa lengo la kuwakabidhi watu waliopata maafa katika maeneo yao. Waliopokea kwa niaba ya wananchi ni Tatu Ismaili ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha  Yaeda Chini Afisa mTendaji wa Kijiji cha Dongobesh Chini Bw. Emanuel Baynit wakiwa na Mh. Faustine Fisoo ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Qedesh.


Mnamo mwezi Agosti 2021 mwananachi aitwae Julius Haqwe wa kitongoji cha Qedesh Kijiji cha Dongobesh Chini, Kata ya Dongobesh alipatwa majanga ya kuunguliwa nyumba ya makazi yake na moto uliozuka ghafla kwenye nyumba yake na kuteketeza mali zote zilizokuwa katika nyumba hiyo ikiwa ni pamoja na vyombo mbalimbali vya matumizi ya nyumbani, nguo, nafaka na vingine vingi.


Baada ya hali hii kujitokeza kijiji waliweka mkutano mkuu wakaelezwa ndipo siku iliyofuata wananchi walijikusanya kupitia kamati zao za kijamii na kumsaidia yule mama kwa kumpa hifadhi na kujengewa nyumba nyingine na kumsaidia mahitaji mbalimbali ya msingi ambapo hadi sasa anaendelea vizuti.


Mnamo mwezi Agosti 2021 kwa mara nyingine tena katika Kijiji kingine Wilaya hii hii ya Mbulu Vijijini mwananachi aitwae Rozalia Qella wa kitongoji cha Laghanga Kijiji cha Yaeda Chini, Kata ya Yaeda chini  alipatwa majanga ya kuunguliwa nyumba ya makazi yake na moto uliozuka ghafla kwenye nyumba yake na kuteketeza mali zote zilizokuwa katika nyumba hiyo ikiwa ni pamoja na vyombo mbalimbali vya matumizi ya nyumbani, nguo, nafaka, kuku2 na mbuzi 2.


Baada ya hali hii kujitokeza kijiji waliweka mkutano mkuu wakaelezwa kisha siku iliyofuata wananchi walijikusanya kupitia kamati zao za kijamii na kumsaidia yule mama kwa kumpa hifadhi na kujengewa nyumba nyingine na kumsaidia mahitaji mbalimbali ya msingi ikiwemo chakula debe 3, fedha za Serikali ya Kijiji Tsh. 200,000/= na wananchi walichanga Tsh. 76,000/= ambapo hadi sasa anaendelea vizuri.

Hata hivyo  Mkurugenzi Mtendaji (W) huyo, ameishukuru Serikali kwa kutoa vifaa hivi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwani vitasaidia wananchi pindi maafa yanapojitokeza kama hivi leo. Pia Mkurugenzi huyo amesisitiza Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji (WEO na VEO) wawe wanatoa taarifa hizi mapema ili kama ni misaada basi itoke kwa wakati ili kutimiza lengo la huu msaada wa maafa kwa walengwa.











Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.