• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. A. A. Kuuli Akiwa Katika Vikao Vya Uhamasishaji Ujenzi wa Madarasa Katika Kata Leo Tarehe 01.11.2021

Kurushwa hewani: November 1st, 2021

Kutoka Kushoto ni Afisa Maendeleo ya Jamii (W), Bw. Sulle wa pili ni Mkurugenzi Mtendaji (W) Bw. A. A. Kuuli na wa tatu ni Mh. Diwani Viti Maalu (CCM), Shishi Katika Kikao Hicho.


~~~~~~~~~HABARI KAMILI~~~~~~~~~~



Mkurugenzi huyo aliongozana na kamati ya uhamasishaji ambayo ilikuwa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw. Sulle na wengine wengi, hata hivyo alikuwepo Mh. Diwani wa wa Viti Maalumu kutoka Kata  ya Tumati. 


Kutembelea katika sehemu hizi kwa Mkurugenzi Mtendaji (W) Bw. A. Kuuli kunamfanya aweze kujua na kutatua changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza hivyo atakuwa na uwezo wa kuzitatua kwa haraka zaidi kuliko angekuwa ofisini. Katika miradi hii kata ya Tumati imepokea kiasi cha Tsh Milioni 40 ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 2 shule ya sekondari Endoji  Kata ya Tumati ambapo kupitia kikao hicho viongozi na wawakilishi wa wananchi wamekunbaliana kuupokea huo mradi kisha kuushusha kwa wananchi na kuanza taratibu za uundaji wa kamati za usimamizi wa mradi huo na kuanza zoezi la usafi katika eneo la kazi kesho tarehe 02.11.2021. Pia zoezi hili litaambatana na wananchi kuanza kuleta malighafi za ujenzi zinazopatikana katika maeneo yao ikiwemo mchanga, mawe na kokoto.

Tumati ni moja wapo ya Kata iliyopokea kiasi cha fedha hizo toka Serikali kuu kupitia fedha za mpango wa UVIKO 19 zilizotolewa na muongozo toka OR-TAMISEMI na ukamilishaji wake ni miezi 2 ijayo kutoka sasa ili kuhakikisha watoto wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza Januari 2022 kutokukosa nafasi. Kata ya Tumati ina vijiji 5 ammbavyo ni Tumati, Mongahay, Endoji, Getesh na Endesh

.

Kikao cha aina hiyo hiyo kimefanyika Kata ya Dongobesh leo tarehe 01.11.2021 kwa kazi hizo hizo lakini tofauti yake ni kwamba Shule ya Sekondari ya Alexanda Saulo imepokea kiasi cha Tsh. milioni 60 ambazo kwa mujibu wa muongozo zitajenga vyumba vya madarasa 3. Kata ya Dongobesh ina vijiji 3 ambavyo ni Dongobesh chini, Dongobesh na Qaloda. 

Hata hivyo kupitia kikao hicho viongozi na wawakilishi wa wananchi wamekunbaliana kuupokea huo mradi kisha kuushusha kwa wananchi na kuanza taratibu za uundaji wa kamati za usimamizi wa mradi huo na kuanza zoezi la usafi katika eneo la kazi kesho tarehe 02.11.2021. Pia zoezi hili litaambatana na wananchi kuanza kuleta malighafi za ujenzi zinazopatikana katika maeneo yao ikiwemo mchanga, mawe na kokoto.



Kimsingi wananchi wote wamefurahi sana baada ya kupata taarifa hizi njema kwa watoto wao na kuishukuru sana serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Mh.Rais. Samia S.H. kwa kuwaletea fedha hizi kwa ajili ya watoto wao kuendelea na masomo bila shida Januari 2022.


Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.