• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. C.M. Nyerere Aupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwa Kupata Hati Safi kwa Mwaka wa fedha wa 2020/2021

Kurushwa hewani: June 27th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. C.M.Nyerere Katika Kikao cha Hoja za CAG Kilichofanyika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu - Dongobesh, 

Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mhe. Joseph G. Mandoo



Waheshimiwa Madiwani 

Wataalamu Mbalimbali





~~~~~~~~~~~~~~~~~~     HABARI KAMILI ~~~~~~~~~~~~~~~~




Haya yamejiri leo tarehe 24.06.2022 katika kikao maalumu cha Hoja za CAG ambacho Mwenyekiti wa kikao hicho ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere ambaye ameupongeza sana uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwa matokeo haya mazuri ya matumizi sahihi ya fedha za serikali lakini amesisitiza kuendelea kuongeza kasi zaidi katika maeneo ya msingi kama vile ukusanyaji wa mapato kwa kubuni vyanzo vipya na kuongeza kasi zaidi katika vyanzo vilivyopo hasa kwa kuchambua changamoto husika na kuzitatua kwa wakati.

Mhe. Mkuu wa Mkoa huyo aliambatana na waandamizi mbalimbali wa kiserikali kutoka ofisi yake ikiwa ni pamoja na Mlezi wa Mkoa wa Manyara toka OR-TAMISEMI na Ofisi ya mkaguzi Mkazi mkoa wa Manyara. Kwa mujibu wa sheria namba 19 kifungu cha 5 Mkuu wa Mkoa atasimamia shuguli zote za ndani ya mkoa husika kwa maendeleo mapana ya watu wake.

Taarifa ya Mkaguzi ya hesabu kama ilivyowasilishwa na mkaguzi wa hesabu za serikali za mitaa mkoa wa manyara ambapo hoja zilikuwa 43 kati ya hizo 12 zilikuwa hajijafungwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021 na taratibu za kuzitatua zinaendelea katika hatua mbalimbali. Katika ukaguzi huu ni utaratibu wa serikali wa kawaida katika kujiridhisha kama fedha zilizokusanywa zilitumika kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu sahihi, kujiridhisha kama manunuzi husika yalifuata sheria, kanuni na taratibu za manunuzi. Hata hivyo katika miradi ya maendeleo ukaguzi unafanyika kuangalia ubora wa miradi husika kama inaendendana na thamani ya fedha iliyotumika kwa hiyoo siyo kukosoa tu bali ni pamoja na kushauri wapi pa kuboresha ili kuimarisha miradi hii katika uwekezaj kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

Mhe M. Nyerere amewapongeza kwa kupata hati safi kwani ni matokeo mazuri ya utendaji kazi kati ya madiwani na wataalamu wa  halmashauri ya wilaya ya mbullu. vigezo vya kupima utendaji  kazi wa halmashauri ni pamoja na uwezo wakukusanya mapato ya kutosha ili kuweza kuiendesha ofisi, kupeleka fedha za miradi ya maendeleo 40% na kupeleka 10% ya mikopo kwa vijana wanawake na walemavu na la mwisho ni kujibu hoja kwa nguvu zote.

Katika kikao hicho ililisitizwa kwamba katika mkakati wa kuzitatua hoja hizi ni muhimu wahusika waliosabanbisha hoja kwa uzembe ni lazima hatua zichukuliwe kwa mujibu wa sheria.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.