• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • WAHESHIMIWA MADIWANI
    • MADIWANI VITI MAALUM
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mwenge wa Uhuru wa Taifa Unatarajia Kufungua Miradi 29 Yenye Thamani ya Tsh. Bilioni 6.6 Mkoani Manyara Kuanzia Leo Tarehe 11.06.2021 hadi 16.06.2021

Kurushwa hewani: June 11th, 2021


 Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongolo Nyerere Akipokea Mwenge wa Uhuru Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro na Kumkabidhi

 Mh. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Y. Myenzi.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Luteni Josephine P. Mwambashi



Vikundi Mbalimbali vya Ngoma za Aili Wakitumbuiza Katika Sherehe Hiyo ya Mwenge







~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~    HABARI KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~





Haya yamejiri leo tarehe 11.06.2021 katika viwanja vya nje kidogo ya mji mdogo wa merirani ambapo  Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongolo Nyerere amepokea mwenge kutoka kwa Mh. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Stephen Kagaigai na kumkabidhi Mh.Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Y. Myenzi leo tarehe 11.06.2021 katika nje kidogo ya Mji Mdogo wa Merirani


Katika sherehe hizo zilizojawa nderemo, hoihoi, shangwe na vifijo kutoka kwa wananchi wa Mkoa wa Manyara Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara M.Nyerere amesema mwenge huu utakimbizwa katika Wilaya 5 za Mkoa wa Manyara nazo ni Simanjiro, Kiteto, Babati, Hanang na Mbulu kwa kuzunguka umbali wa kilometa 1088.3 na kutembelea miradi 29 yenye thamani ya Tsh. Bilioni 6.6 ambayo ipo katika makundi manne ya kuweka mawe ya msingi, uzinduaji wa miradi, ufunguaji wa miradi na kukagua pamoja na kuona maendeleao ya miradi mbalimbali mkoani manyara.


Hata hivyo wananchi wa mkoa wa manyara wako bega jkwa bega katika azima hii kwa lengo la kutuletea maendeleo endelevu ya mkoa wetu sanjali na kutukumbusha mchango wa baba wa Taifa mMwal. J.K.Nyerere kwa kuiletea Tanzania heshima, upendo, mshikamano, Amani, umoja na utulivu katika nchi yetu.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI October 20, 2025
  • TANGAZO LA USAFI JUMAMOSI YA MWISHO YA MWEZI November 28, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA HIARI January 27, 2026
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU LAPITISHA NA KUPONGEZA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 10, 2026
  • USHIRIKIANO WA KITENGO CHA USTAWI WA JAMII NA TAASISI YA CHaRA WAWEZESHA WANAFUNZI WA KIKE DONGOBESH SEKONDARI KUPITIA ELIMU YA AFYA, KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NA UGAWAJI WA TAULO ZA KIKE

    February 09, 2026
  • WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU WANUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10 MBULU DC

    January 19, 2026
  • WANANCHI WAASWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI YA UGONJWA WA UKIMWI

    December 01, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

DC SEMINDU AAGIZA WATENDAJI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA UTOAJI WA LISHE KILA KIJIJI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.