• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

MWENYEKITI WA HALMASHAURI AWAKABIDHI MAAFISA MIFUGO PIKIPIKI SABA.

Kurushwa hewani: January 16th, 2024

Na. Ruth Kyelula

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo amewataka maafisa Mifugo wazitumie piki piki walizokabidhiwa kwa ajili ya kusaidia wakulima na watanzania wa Halmashauri yetu ya Wilaya ya Mbulu.

Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo wakati akikabidhi pikipiki saba kwa Maafisa Mifugo wa Halmashauri, mbele ya jengo la utawala, januari 16, 2023.


“Pikipiki hizi tunazikabidhi, mzitunze vizuri. Ni kwa matumizi ya shughuli za serikali, sio za matumizi binafsi. Hasa za utoaji wa huduma za ugani kwenye kata za Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, hasa kata ambazo mmenufaika nazo.Kama Halmashauri tulikuwa na changamoto kubwa.Kwahiyo kazi ya Mkurugenzi ni kutafuta fedha kwa ajili ya kutenga  mafuta ili muweze kufanya kazi nzuri kwenye kata mbalimbali.” Alisema Mhe.Mwenyekiti Mandoo.

Aliendelea kusema kuwa, anamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwahudumia watanzania hasa wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu, na akawaasa maafisa ugani wakafanye kazi bora ambazo wananchi watafurahia huduma za ugani kwenye maeneo yenu ya kazi.

Naye Afisa Mifugo wa Halmashauri Nicodemus Michael, alisema kuwa ugawaji wa pikipiki unatoka serikali kuu katika wizara ya mifugo, na sio zoezi la kila mwaka inategemea na serikali ikipata hela kwa ajili ya kuwagawia maafisa mifugo halafu baada ya hapo ikipatikana wanagawa na idadi ya pikipiki inategemea na uhitaji wa eneo husika.

 Kwa upande wa Afisa mifugo wa kata ya Tumati, Salumu Lesso, ambaye naye ni mnufaika wa pikipiki hizo alisema kuwa anaishukuru Halmashauri kwa sababu walikuwa wanapata tabu namna ya kuwafikia wafugaji na wakulima ambao wengine ni umbali hata wa km saba (7) kuwafikia. Na kwa sasa tutakuwa na nyenzo ya kuwafikia wananchi na huduma itaboreka tofauti na hapo awali.



Kaimu Mkurugenzi, ndugu Juma Kirimba(Afisa Mazingira)-kushoto akisuhudia tukio lakukabidhi pipikipi

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI.

    May 16, 2025
  • KAMATI LISHE YAKAA KIKAO CHA TATHIMINI YA HALI YA LISHE KWA ROBO YA TATU

    May 08, 2025
  • MADIWANI WAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI KATIKA KATA ZAO

    April 29, 2025
  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.