• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Rais samia apeleka tsh billion 2,346,489 553.60 Mbulu kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo.

Kurushwa hewani: April 28th, 2023

Kutoka kulia ni Mweka hazina wa Halmashauri bwana Kagaruki akiwa na Afisa Mipango wa Halamshauri bwana Kundy wakifuatilia kikao cha Baraza la Madiwani


Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu imepokea kiasi cha  Tsh. billion 2,346,489 553.60 kwa ajili ya Miradi ya maendeleo kwa ajili ujenzi wa vituo vya afya, ujenzi wa shule za msingi na sekondarina miradi mbalimbali.

Wajumbe wa Baraza la Madiwani wakiendelea na kikao cha Baraza.

Kutoka Kulia ni Mhe. Ester Joel Diwani Viti Maalumu Dongobesh na mweyekeiti wa kamati ya Uchumi akiwa na Mhe. Nada Diwani masieda na Mwenyekiti kamati ya Elimu, Afya na Maji


Hayo yamethibitishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mhe.Joseph G. Mandoo katika kikao cha robo ya tatu cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi uliawa halmashauri chenye lengo la kujenga na kutatua changamoto mbalimbali ndani ya Wilaya ya Mbulu.

Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Mhe. Joseph Mandoo( Dwani kata yDinamu) akifuatilia mjadala wa kikao cha Baraza

Miradi hiyo imepelekwa katika Vijiji vyote Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu  ambapo kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Mbulu Vijijini Mhe. Flatei Gregory Massay anasema hana budi kupeleka salamu za pongezi kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe.Dokta  Samia Hassan Sullu kwa kuipa halmashauri fedha  za kutosha za maendeleo na hata kusema kuwa bado kuna fedha nyingi zinaendelea kuja.

Mhe. Flatei Massay Mbunge akichangia Mada katika kikao cha Baraza

“Usipokuwa na Moyo wakushukuru kidogo hata kile ulichopewa kidogo huwezi ridhika” alisema hayo mhe.mbunge


Wataalamu wa Halamshauri wakifuatilia mijadala mbalimbali ya kikao cha Baraza kutoka Kulia Afisa Utumishi bi Neema, Afisa Maendeleo ya Jamii Bi. Praxeda,Mwanasheria wa Halmashauri Wakili kaijage na Afisa Elumu Msingi Bi Fatu Msangi


Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbulu wakiwa katika Kikao cha Baraza


Kwa upande wa Madiwani walioweza kuchangia michango mbalimbali ya iliyowasilishwa na kamati za kudumu wameendelea kuwapongeza wataaalam na kuwaomba kusimamia ipasavyo na kwa bidii fedha zinazoletwa ili kuwaletea  wananchi maendeleo.


Mhe.Joseph Diwani Kata ya Dongobesh akifurahi kusikia dongobesh anaenda kuletewa maendeleo zaidi wakati wa kikao cha baraza

Makamu Mwenyekiti na Diwani kata ya Bashay akichangia mada wakati wa kikao cha Baraza

Mhe. Elimina Shishi Diwani Viti Maalum akisoma kwa umakini kablasha linalowasilishwa.


Aidha akiongea kwa niaba ya Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kaimu Mkurugenzi ndugu Moses Nduligu ameendelea kuwahakikishia wajumbe wa baraza hilo kuwa wamejipanga katika kutekeleza, kusimamia na kulinda kwa ufasaha miradi inayoletwa na inayotekelezwa katika  maeneo mbalimbali ndani ya halmashauri. Hivyo nitoe lai kwa waheshimiwa kuwasisitiza wananchi kutoa ushirikiano pale mradi unapokuja ndani ya kijiji.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza

Kwa pamoja tunaijenga Mbulu yetu kwa kuwatumikia wananchi, alihitimisha kwasema hayo kaimu Mkurugenzi.

Mhe. Bajuta Diwani wa  kata ya Yaeda chini akiwa anasoama kablsha linalowasilishwa katika kikao   cha Baraza.





waendesha kikao cha Baraza(CC)wakiendeleana kikao cha Baraza



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.