• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti Aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwa Kusimamia Vizuri Walengwa wa TASAF Katika Miradi ya Kaya Maskini Tarehe 27.04.2021

Kurushwa hewani: April 27th, 2021

Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti (mwenye shati la bluu bahari) Akienda Kukagua Kaya za Wanufaika na Mpango wa TASAF Katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Kata ya Bashay Kijiji cha Bashay.


 Wa Pili Kutoka Kushoto ni Ndugu Emmanuel John Buhhay ni Mnufaika na Mpango wa Kuhudumia Kaya maskini katika 

Mpango wa TASAF Kijiji cha Bashay Kata ya Bashay 

Wa Kwanza Kutoka Kushoto (T-shirt nyekundu) ni ndugu Philipo John Buhhay ni Mnufaika na 

Mpango wa Kuhudumia Kaya maskini katika Mpango wa TASAF Kijiji cha Bashay Kata ya Bashay


Miradi Waliyoiibua na kuitekeleza Kama Inavyoonekana Hapo Juu

Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Dkt.Chelestino Simbalimile Mofuga Akimkaribisha Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti

 Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti Akisalimia Wananchi Kata ya Dongobeshi Katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.









~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~   HABARI KAMILI   ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~



Hayo yamejiri katika ukaguzi wa kaya maskini zinahudumiwa na serikali kupitia mpango wa TASAF ambapo Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti alitembelea kaya kadhaa zikiwemo mbili za Kijiji cha Bashay Kata ya Bashay kwa ndugu Emmanuel John Buhhay na ndugu Philipo John Buhhay wote wa eneo hilo hilo.


Katika ukaguzi huu ilionekana kwamba hawa wanuafaika  kwa mwaka 2015 kabla hawajaingia katika mpango wa TASAF walikuwa katika hali ngumu sana ya kujikwamua kiuchumi katika familia zao lakini bada ya kujiunga na mpango huu kupitia kuchaguliwa katika mikutano mikuu ya kijiji sasa hivi kila mtu anambuzi zaidi ya 6, nyumba ya kwake ya kuishi tofauti na mwanzo wote walikuwa wanaishi nyumba za kupanga.


Mbali na hii miradi pia wana mashamba ya mazao mbalimbali ikiwemo mahindi. Hivyo wanaishukuu sana serikali kwa kuwasaidia.


Hata hivyo Mh. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joseph Mkirikiti alipitia kata ya Dongobeshi kuwasalimia wananchi kabla ya kuelekea Wilaya ya HananG huku akisisitiza wananchi kujiunga na mfuko wa bima

 ya afya iliyoboreshwa kwa manufaa ya familia zao kwani ni Tsh. 30,000/= ili uweze kupata matibabu mwaka mzima.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.