• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

TASAF imewataka walengwa wenye umri kati ya miaka 18 hadi 65 wajitokeze kufanya kazi.

Kurushwa hewani: July 18th, 2023

Eskhesh July 12, 2023.

 

Afisa ufuatiliaji toka TASAF ndugu. Simon Semetei amewataka walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini katika kijiji cha Eshkesh, Halmashauri ya Mbulu wenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 65 wenye uwezo wa kufanya kazi wajitokeze kufanya kazi katika miradi ya ajira za muda, kwani wanapofanya kazi hizi wajue zinaleta Maendeleo kwenye kijiji na jamii yao ambapo na wao watakua ni sehemu ya wanufaika wa Maendeleo ya Kijiji hicho. Hayo yalisemwa na Semetei wakati akifanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Ajira za muda  inayotekelezwa na walengwa  wa TASAF Kijiji Cha Eshkesh.

Miradi ya Ajira za muda kwa Halmashauri ya Mbulu ilianza mwaka 2022 December, ambapo  walengwa waliweza kutengeneza Barabara za jamii, Mifereji ya umwagiliaji, visima vifupi, vivuko mbalimbali na malambo ya maji.  Miradi hii imewezesha walengwa kupata ujuzi na kuongeza kipato.

Semetei amezungumzia changamoto kubwa waliyokuwa wanailalamikia wanufaika wa mradi, kuhusu ucheleweshaji wa malipo, kuwa dirisha la malipo ya TASAF linaweza kuchelewa kwa sababu mbalimbali ikiwemo uhakiki wa kuthibitisha form zinazoingia mtandaoni kwa ajili ya kuandaa malipo.  Pia ulipwaji kwa njia ya kielektroniki unakua na changamoto kwani majina ya mlengwa kwenye Mpango kutofautiana na jina la kwenye namba ya NIDA, hivyo zoezi hilo la uhakiki kupelekea malipo kwa walengwa kuchelewa.


"Niwaombe wanakijiji cha Eshkesh,mjitahidi kuikamilisha miradi iliyo mbele yenu kwa wakati na Kwa kuzingatia ubora na viwango vya kisekta ili miradi iweze kukabidhiwa kwenye Halmashauri na jamii husika "

Aidha kwa upande wake mwezeshaji wa TASAF ngazi ya halmashauri Bi. Debora Amsi alisema kuwa mradi wa pili ambao ni wa upandaji miti, inasubiriwa mvua kuanza kunyesha ili wanufaika waanze kutekeleza mradi kwa kuchimba mashimo na kupanda miti kuzuia upepo.  Katika maeneo ya Eshkesh nyumba nyingi zimeezuliwa na upepo kutokana na uhaba wa miti maeneo hayo.



Naye Mwenyekiti wa Kijiji Cha Eshkesh, Faustini Tlatlaa aliwaasa wanakijiji wakazane kufanya kazi na kushirikiana kwenye mradi. Pia aliwaasa walengwa kutumia pesa wanazopewa kufanyia mambo ya msingi.

“KWA PAMOJA TUNAIJENGA MBULU YETU”

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.