• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Wajumbe wa Halmshauri za Vijiji kwa kata ya Haydom na Hayderer Wilayani Mbulu Waapishwa

Kurushwa hewani: January 9th, 2019

Zoezi la kuwaapisha Wajumbe wa Halmshauri za Vijiji 129 wa Chama cha Mapinduzi waliopita bila kupigwa kwa kata ya Haydom na Hayderer limekamilika rasmi jana tarehe 08/01/2019 kwa kuapishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Dongebesh, Mheshimiwa Julieth Mbise.

Wajumbe wa viti maalum kata ya Haydom Bi. Clara Kimaro,Elimina Awet, Joselina Mushi na Elirose Yohana wakila kiapo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Dongobesh Mhe.Julieth Mbise na Afisa Uchaguzi halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ndugu Michael Faraay mwenye miwani akishuhudia zoezi zima la kuapishwa,

Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu hadi kufikia disemba 2018 ilikuwa na nafasi 129 zilizoachwa wazi kutokana na sababu mbalimbali kama vile kujiuzulu kwa baadhi ya Wajumbe, kufukuzwa uanachama,na baadhi kuhama vijiji, katika nafasi hizo zizlizo wazi ni 23 Wenyeviti wa Kijiji, 42 Wenyeviji wa Vitongoji, 50 Wajumbe wa halmashauri za vijiji na 25 Wajumbe wa Viti Maalum.

 Mwenyekiti wa Kijiji cha Haydom ndugu,Elihuruma Manase Boay akiapa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Dongobesh Mhe.Julieth Mbise.

Mchakato mzima wa uchaguzi mdogo ulifanyika kwa awamu mbili mwezi novemban na disemba 2018 ukihusisha jumla ya vijiji 23. Wagombea 129 wa chama cha Mapinduzi na 4 wa chama cha Maendeleo na Demokrasi walishiriki uchaguzi huo kwa ulianza rasmi kwa kuchukua fomu za kugombea .

Wajumbe wa vijiji vya Hayderer, Semonyandi,na Singu wakipewa maelekezo kutoka kwa Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Dongobesh Mhe.Julieth Mbise kabla kula kiapo.

Uchaguzi mdogo ulifanyika rasmi mnamo tarehe 30/12/2018 kwa haydom na hayderer zenye jumla ya vijiji 23. Wajumbe 129 waliotoka kwenye vijijji hivyo wa chama cha Mapinduzi waliibuka kidedea kwa kupita bila kupingwa uku wapinzani wao wakikosa kura.

Wajumbe wa vijiji cha Hyaderer ndugu,Zebedayo T. Bagala,ndugu Joseph Penataleo wa kijiji cha Simha, ndugu Emanuel Shauri wa kijiji cha Semonyandi wakila kiapo cha utii mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mwanzo Dongobesh Mhe.Julieth Mbise.

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wailaya ya Mbulu ndugu Hudson S. Kamoga anawatakia Uongozi mwema Viongozi wote mlioshinda na kuwaomba kuwatumikia wananchi wote kwa uaminifu kwaajili ya maendeleo yao.



Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.