• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

WATAFITI SUA KUJA NA KAMPENI YA AFYA SHIRIKISHI KUTOKOMEZA MINYOO TEGU YA NGURUWE MBULU

Kurushwa hewani: May 26th, 2023


“Ufugaji wa nguruwe ni mojawapo ya mradi inayoinua pato la mtu binafsi, kaya,vikundina taifa kwa ujumla, hata hivyo mradi huu unakuwa unakwamishwa na mambo mbalilimbali yakiwemo magonjwa kwa wanyama”amesema hayo hii leo Dr. Ernatus M. Mkupasi alipokuwa akieleza juu ya tafiti.

Mnyoo Tegu unaojulikana kisayansi kama Taenia  Soliumn ni moja ya matatizo makubwa yanayoathiri uzalishaji wa nguruwe nchini Tanzania kama ilivyo katika nchi zinazoendelea.

Binadamu na Nguruwe huambukizwa na huu mnyoo na kusababisha maradhi yanayopelekea kupungua kwa nguvu kazi na kushuka kiuchumi.


Ili kuepuka hayo yote Watafiti toka Chuo Kikuu cha Sokoine wamekuja na matokeo ya utafiti kwa kushirikiana na  Mradi wa Cysticercosis Network of Sub - Saharan Africa (CYSTINET- Africa) uliolenga kuelimsha jamii jinsi ya kuzuia na  kudhibiti Mnyoo Tegu kwa kutumia mbinu iitwayo Afya Shirikishi na hatimaye kuboresha afya za binadamu kwa ujumla,kulinda mazingira na kuinua uchumi wa wafugaji pamoja na wadau wote wa sekta ya mifugo


 Utafiti huu umefanyika hapa nchi kwa maeneo mbalimbali, miongoni mwa Mikoa iliyofanyiwa tafiti ni Manyara, Dodoma, Mbeya ,Singwe , Iringa,Njombe na Ruvuma  na maeneo hayo yote yalibainiki kuwa na maambukizi.\

Aidha kwa Mkoa wa Mnayara uatfiti huu ulifanyika kwa Wilaya ya Mbulu na Babati, katika Wilaya ya Mbulu utafiti ulifanyika kwa maeneo ya Masieda na Maghang.


Ili kuendelea kudhibiti kuendelea kwa maambukizi  ya minyoo tegu kwa binadamu na nguruwe tunashauriwa kuzingatia mambo yafuatayo:

Kuzingatia matumizi sahihi ya Choo.

Kuimarisha usafi wa mtu binafsi na Mazingira

Kuzingatia usalama wa vyakula, ikiwa ni pamoja na kunywa maji safi  na salama

Kukagua Nyama ya Nguruwe kabla ya matumizi

Kuzuia ufugaji huria wa Nguruwe

Kuendelea kutoa elimu enedelevu ya maambukizi ya Minyoo ya Tegu

Pia kuendelea kutumia mbinu ya Afya shirikishi katika mapambano ya minyoo.

Tukiungana na kuzingatia elimu mbalimbali inayotolewa na wataalamu hakika tutatokomeza minyoo hao.

 

KWA PAMOJA TUNAIJENGA MBULU YETU.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.