• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

WATENDAJI WA KATA WAHIMIZWA KUSIMAMIA UTOAJI WA CHAKULA LISHE

Kurushwa hewani: June 23rd, 2023

Akiongea katika kikao cha tathimini ya hali ya lishe ya chakula  cha halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kilichofanyika hii leo tarehe 23/06/2023, Komredi Kheri James Mkuu wa Wilaya  ya Mbulu ameipongeza halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kwa kutoa fedha kwa asilimia mia(100) ili kuweza kusaidia maswala ya lishe kwa watoto walio chini ya miaka mitano(5).


Kikao hicho kimehudhuriwa na Wajumbe mbalimbali toka halmashauri, kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya,pamoja na Watendaji wote wa kata 18 za  halmashauri ya Wilaya ya Mbulu.

Pamoja na tathimini iliyotelawa na Mganga Mkuu wa Wilaya ikionesha hali ya lishe na utoaji wa Elimu ya lishe kwa kata tisa za  halmashauri ya Wilaya ya mbulu tumefikia kiwango cha asilimia 50 na mikakati mbalimbali ikiendelea kuwekwa kufikia malengo, Mkuu wa Wilaya ya Mbulu awaagiza Watendaji kuhakikisha wanasimamia na kutekeleza mambo mbalimbali ili kuweza kufikia malengo.


 

Komredi James  awataka Watendaji Kuendelea kusimamia mpango wa lishe bora mashuleni, ikiwa ni pamoja na  kuhimiza shule zote katika halmashauri ya Wilaya ya Mbulu kuanzisha bustani za mboga mboga aina mbalimbali pamoja na upandaji wa miti ya matunda.


Kusimamia unywaji wa maji safi na salama mashuleni baada ya mlo, ili kupunguza magonjwa ya mlipuko katika Wilaya yetu na Kuendelea kuielemisha jamii ngazi ya vijiji na vitongoji hasa kaya zenye watoto chini ya miaka mitano juu ya umuhimu wa lishe bora.

Aidha, amesisitiza  maafisa kilimo watoe elimu kwa wakulima juu ya upandaji wa mazao ya lishe, ikiwa ni mahindi na maharage lishe pamoja na uoandaji wa bustani za mboga mboga na matunda kwa wingi,pia itolewe kwa wenyeviti wa vitongoji, wahudumu wa afya ngazi yajamii, kanisani na misikitini, ili waendelee kuhimiza na kutoa elimu ya lishe bora hata katika nyumba za ibada.

Hakihitimisha kikao hicho cha tathimini Komredi Kheri James amewataka watendaji wa kata wawe  na utamaduni wa kutembelea mashuleni ili kuangalia aina ya vyakula ambavyo wanafunzi wanandaliwa pamoja na mazingira ambayo chakula kinaandaliwa kama ni safi na salama


#KWA PAMOJA TUNAIJENGA MBULU YETU.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.