• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

YOUNG BOYS YAIBUGIZA QANDACH FC MABAO 6-0 KWENYE KURUGENZI CUP '18

Kurushwa hewani: May 16th, 2018


Mashindano ya Kurugenzi CUP ’18 yaliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga yameendelea kutimua vumbi leo Mei 16 kwenye viwanja vya shule ya msingi Haydom kwa timu ya soka ya Young Boys kuifunga mabao 6-0 timu ya Qandach FC

Mabao ya Young Boys yalifungwa na Chunga Elia kwenye dakika ya 9 kwa shuti kali ndani ya eneo la hatari na kumshinda mlinda mlango wa timu ya Qandach FC Israel Petro.


Bao la pili la Young FC lilifunga na Enea Sule kwenye dakika ya 24 kwa kichwa baada ya kupokea krosi kali iliyopigwa kiufundi na winga wao Shondo Silvin aliyevaa jezi nambari 5 mgongoni.

Yule yule mfungaji wa bao la kwanza Chunga Elia mnamo dakika ya 30 aliwainua mashabiki wa timu ya Young Boys ambao walijaa kwenye uwanja huo wa shule ya msingi Haydom licha ya mvua kali kuendelea kunyesha kwa kufunga kwa shuti kali la umbali wa mita 25 na kuandika bao la tatu.

mfungaji wa mabao matatu Chunga Elia timu ya Young Boys akitoka uwanjani baada ya mchezo kumalizika


Mchezaji kiungo mkabaji Yoram Thomas wa timu ya Young Boys aliipatia timu yake bao la 4 mnamo dakika ya 49 ya kipindi cha pili kwa kufunga baada ya kutokea piga nikupige langoni mwa timu ya Qandach FC.

 Bao la 5 la Young Boys lilifungwa na mchezaji wao machachari Elmalek Malley aliyeingia kuchukua nafasi ya Yoram Thomas kwa shuti kali baada ya kupewa pasi safi na mchezaji Zacharia Simon (Dokta) kwenye dakika ya 78 ya mchezo huo.Kipa wa timu ya Young Boys Israel Petro akidaka mpira uliopigwa na
wachezaji wa timu ya Qandach FC kwenye mashindano ya Kurugenzi CUP 18
yaliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya
Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga yanayofanyika mji mdogo wa Haydom,
Young Boys ilishinda mabao 6-0.

Chunga Elia alihitimisha karamu ya mabao kwa timu hiyo kwa kufunga bao la kiufundi la sita baada ya kuwachambua walinzi wa timu pinzani na kuachia shuti kali lililomshinda kipa na kuzama kwenye nyavu ndogo ambapo hadi mwisho wa mchezo huo Young Boys waliibuka kidedea kwa mvua ya magoli 6 na Qandach 0.

Mashabiki waliojitokeza kushuhudia mpambano mkali ambapo timu yaYoung Boys iliifunga timu ya Qandach FC mabao 6-0.Mchezo huo ulipigwa
wakati mvua ikiendela kumwagika katika viwanja vya shule ya msingi
haydom lakini mashabiki hawa hawakujali hilo na waliendelea kupata
burudani.

Matangazo

  • Tangazo la fursa za mafunzo ya ufundi stadi awamu ya saba February 01, 2025
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UCHIMBAJI VISIMA January 29, 2019
  • JINSI YA KUTOA/KUTUMA MALALAMIKO KWA NJIA YA MTANDO HALMSHAURI YA WILAYA YA MBULU. March 23, 2019
  • KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU 2021 June 10, 2021
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • MBULU DC YATOA SADAKA KITUO CHA AFYA DONGOBESH.

    January 30, 2025
  • MBULU DC YAKWAMUA VIKUNDI VYA VIJANA KIUCHUMI

    February 13, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 38.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAHIMIZA WANAFUNZI WARIPOTI SHULENI

    January 31, 2025
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

  • Facility Financial Accounting and Reporting System(FFARS)
  • Log in PlanRep System
  • PlanRep Documents
  • FFARS USER GUIDE
  • MANYARA REGIONAL WEBSITE
  • UTUMISHI PORTAL

link tunazolandana

  • TOVUTI YA IKULU
  • MFUMO WA VIBALI YA KUSAFIRI NJE (LIVE)
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA TAMISEMI
  • BARAZA LA MTIHANI LA TAIFA TANZANIA
  • TOVUTI YA HABARI MAELEZO

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mbulu district Coucil

    Anuani: P.O.BOX 74

    Simu ya mezani: +255743583078

    Simu: +255716992222

    Barua pepe: md@mbuludc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.