Napenda kuchukua fursa kuwakaribisha katika Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu iliyoko Mkoa wa Manyara,Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ni moja kati ya Halmashauri saba (7) za Mkoa wa Manyara.
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu inasifika kwa kuzalisha Vitunguu SWAUMU vyenye Ubora zaidi Afrika Mashariki na kati. Vile vile Halmashauri yetu pia inasifika kwa kuzalisha Mazao mbalimbali ya Chakula na Biashara kwa wingi kama vile:- Mahindi, Alizeti, Mharage, Mbaazi, Dengu na Vitunguu Maji.
Aidha tunasifika kwa kutunza na Kuenzi Utamaduni wa Asili. Kabila la Hadzabhe ni miongoni mwa Tamaduni ya Asili inayopatikana Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu katika Bonde la YAEDA CHINI iliyopo kata ya Yaeda Chini
Kwa Habari zaidi tembelea tovuti yetu kwa kubofya hapa www.mbuludc.go.tz
Ilikufika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu fuata ramani iliyo katika tovuti yetu
#KWAPAMOJATUNAJENGAMBULUYETU
KARIBU HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU, KARIBUNI KWA UWEKEZAJI.
Mbulu district Coucil
Anuani: P.O.BOX 74
Simu ya mezani: +255743583078
Simu: +255716992222
Barua pepe: md@mbuludc.go.tz
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.