• Mlalamikaji |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mbulu District Council
Mbulu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Taasisi
    • Orodha ya Wakurugenzi
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya utumishi na mahusiano
      • Mipango, Takwimu na Uangalizi
      • Idara ya Fedha
      • Elimu na Utamaduni
      • Afya
      • Kilimo.Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na uthibiti wa taka ngumu
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Idara ya Ujenzi na Zimamotto
        • Moto
      • Idara ya Maji
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Goverment Communication
  • Machapisho
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Sheria
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Picha Jongefu
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi inayoendela
    • Miradi iliyokamilika
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Dinamu
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
      • Kamati ya Ardhi
      • Kamati ya ALAT
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba za Vikao
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Elimu

Picha Jongefu

  • Madiwani wapita bila kupingwa - Mbulu

    July 24th, 2018

    Akiongea na vyombo vya habari hii leo ofisini kwake Msimamizi wa Uchaguzi  jimbo la Mbulu, ndugu Hudson Stanley Kamoga amewatangaza Madiwani wawili wa kata ya Tumati ndugu Paulo Emanuel Axwesso (CCM) na ndugu Justine Sidamuy Masuja Hayderer(CCM),wamepita bila kupingwa  baada ya Wapinzani wao kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushindwa rufaa waliokata Tume ya Taifa ya Uchaguzi dhidi ya Uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

  • FURAHA YA DONGOBESH WAKIKABIDHIWA KOMBE BAADA YA USHINDI WA BAO 3-1 DHIDI YA REMA1000 FC

    May 22nd, 2018

    Furaha baada ya mchezo kukamilika na kukabidhiwa kombe

  • DONGOBESH FC YATWAA KOMBE KURUGENZI CUP'18 KWA KUICHAPA REMA1000 FC MIKWAJU 3-1

    May 22nd, 2018

    Timu ya Mpira wa Miguu toka Dongobesh imetwaa taji mara baada ya  ya kuchapa mikwaju 3-1 timu ya Rema 1000 inayotoka kijiji cha Haydom. Timu zilianza mpira kwa kasi huku kila mmoja amkivizia mwenzake, mnamo dk ya 24 ya mchezo timu ya Dongobesh ilijipatia bao, bao hilo lilidumu hadi dk, ya 38 ya mchezo ambapo Rema walisawazisha kwa njia ya penati mara baada ya walinzi kufanya makosa eneo la hatari, hadi mapumziko 1-1.

    Mara baada ya kipindi cha pili kuanza dongobesh ilifanya mashambulizi makali yaliyosakama lango na wapinzani na hatimaye kufanikiwa kuandika mabao mawili.

    Hadi mwisho wa michezo Dongobesh FC 3 na Rema1000 FC 1 

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • Next →

Matangazo

  • KIKAO CHA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI February 28, 2018
  • RATIBA YA MTIHANI KIDATO CHA SITA (ACSEE)- 2018 March 07, 2018
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI April 24, 2018
  • Muundo mpya wa maswali ya Mtihani wa kuhitimu Elimu ya Msingi 2018 March 20, 2018
  • Tazama zote

Habari za hivi Punde

  • NDUMBARO AWATAKA MAAFISA HABARI WAZUNGUMZIE MAFANIKIO YA SERIKALI.

    March 06, 2024
  • Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Afariki

    February 29, 2024
  • BALOZI WA NORWAY AWASILI WILAYANI MBULU.

    February 21, 2024
  • MBULU DC YAZINDUA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA.

    February 16, 2024
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MBULU DC KUKUSANYA ZAIDI YA MIL.90 KATIKA MSIMU MPYA WA UVUVI KUTOKA BWAWA LA BONDELA YAEDA CHINI
Video za Ziada

Viunganishi ya Haraka

link tunazolandana

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Uelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Awali
    • Kanusho
    • Maswali yanaolizwa Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.