Serikali imesaini Mkataba Ujenzi wa barabara ya Labay- Hydom kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 25 , mradi huu mkubwa unagharimu zaidi ya blioni 40, ambapo utakapokamilika utarahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji kuchochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi kama vile usafirishaji wa mazao ya biashara na shughuli za kijamii kwa ujumla.
Wananchi wa kijiji cha Masqaroda wakipakia kokoto katika lori la halmashauri kwa ajili ya Ujenzi wa Josho
Copyright ©2018 Mbulu District Council . All rights reserved.