Kurushwa hewani: May 17th, 2018
Kurugenzi CUP ’18 yazidi kutimua vumbi katika dimba la shule ya msingi Haydom Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, kwa timu ya Rema 1000 FC kwa kuigaragaza pasipo huruma timu ya Lambo FC kwa mabao 5-3.
K...
Kurushwa hewani: May 13th, 2018
Mji mdogo wa Haydom wa Wilayani Mbulu Mkoani Manyara na viunga vyake kwa muda wa wiki hii nzima utakumbwa na burudani kubwa kupitia tamasha la ujasiriamali na michuano ya Kurugenzi Cup ’18 iliyoandali...
Kurushwa hewani: May 16th, 2018
Mashindano ya Kurugenzi CUP ’18 yaliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga yameendelea kutimua vumbi leo Mei 16 kwenye viwanja vya s...