Kurushwa hewani: September 22nd, 2025
Na, Magreth Mbawala,Mbulu DC.
Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wamefanya ziara ya kukagua miradi ya shilingi Bilioni 4,764,666,012 kwa kipindi cha robo ya nne.
...
Kurushwa hewani: October 13th, 2025
Na. Nashon Biseko
One stop Center imeongoza Mafunzo ya Uelewa juu ya Ukatili wa Kijinsia na Ukatili dhidi ya Watoto katika jamii kwa Watumishi wa Serikali wa maeneo mbalimbali ya Wilaya na Mas...
Kurushwa hewani: October 9th, 2025
habari na Nashon
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wapongeza uwepo wa timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia iliyoanza kutoa huduma za kibingwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya...