Kurushwa hewani: December 5th, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi 116.
“Kati ya waliofariki wanaume ni 23 ...
Kurushwa hewani: December 2nd, 2023
Na Ruth Kyelula- Afisa Habari
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Kheri James, amewataka Watendaji wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu waratibu maonesho ya mara kwa mara yanayohusu mambo ya ...